PORTFOLIO YETU

Miradi ya Makazi Solutions

Gundua miradi ya upangaji miji, uboreshaji wa makazi, upimaji na uendelezaji wa ardhi inayotekelezwa na Makazi Solutions katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Kipumbwi Satellite City Mradi Unaendelea

Kipumbwi Satellite City

Kipumbwi Satellite City ni mradi wa jiji jipya lililopangwa na kupimwa rasmi huko Pangani, Tanga. Mradi una jumla ya viwanja 4,073...

  • Kipumbwi, Wilaya ya Pangani, Tanga
  • Jiji Jipya / Satellite City
  • Makazi Solutions (T) Limited
Angalia Maelezo
Kilapula-Azimio Settlement Upgrading & New Layout Umekamilika

Kilapula-Azimio Settlement Upgrading & New Layout

Kilapula-Azimio Settlement Upgrading & New Layout ni mradi wa uboreshaji wa makazi na upangaji mpya wa eneo uliotekelezwa katika M...

  • Muheza, Tanga
  • Settlement Upgrading & New Layout
  • Makazi Solutions (T) Limited
Angalia Maelezo
UZOEFU WETU

Kwa Nini Uchague Makazi Solutions?

Wataalamu Waliosajiliwa

Tunatoa huduma za kitaalamu katika upangaji miji, upimaji ardhi, uendelezaji wa ardhi na huduma zinazohusiana na umiliki wa ardhi.

Miradi Iliyopangwa Kitaalamu

Miradi yetu inazingatia upangaji wa matumizi ya ardhi, mtandao wa barabara na maeneo yaliyotengwa kwa huduma mbalimbali kulingana na aina ya mradi.

Uzoefu wa Miradi

Tuna uzoefu wa kutekeleza miradi ya upangaji miji, uboreshaji wa makazi, urasimishaji na upimaji katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Msaada wa Kitaalamu

Timu yetu inapatikana kuwaelekeza wateja kuhusu miradi, viwanja, taratibu za umiliki na huduma mbalimbali za ardhi.

ANZA HATUA YAKO

Unatafuta Kiwanja au Huduma ya Ardhi?

Wasiliana na Makazi Solutions kupata taarifa kuhusu miradi yetu, viwanja vinavyopatikana, upangaji miji, upimaji ardhi na huduma nyingine za kitaalamu.