Anwani ya Ofisi

Makazi Solutions (T) Limited
Tanga, Tanzania

Anwani ya Posta

P.O. Box 13
Tanga, Tanzania

TUMA UJUMBE

Tuambie Unachohitaji

Taarifa za Kampuni

Kwa maelezo kuhusu huduma zetu, miradi, upatikanaji wa ardhi au huduma za upangaji miji na uendelezaji wa ardhi, wasiliana nasi kupitia taarifa zifuatazo.

HUDUMA ZETU

Unahitaji Msaada Gani?

Chagua eneo linalohusiana na mahitaji yako ili kupata huduma inayokufaa kutoka Makazi Solutions.

Upangaji Miji

Mipango miji, master plans, structural plans na mipango ya uendelezaji wa maeneo.

Upimaji Ardhi

Upimaji wa ardhi, uwekaji wa mipaka ya viwanja na huduma za cadastral.

Ardhi na Mali

Upatikanaji wa ardhi, uuzaji wa viwanja, urasimishaji na huduma za mali.

GIS na Ramani

Ramani za ardhi, uchambuzi wa maeneo, usimamizi wa viwanja na huduma za GIS.

MASWALI YA MARA KWA MARA

Maswali na Majibu

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu 0755 282 984 au kupitia barua pepe makazitanga@gmail.com.

Ndiyo. Unaweza kutembelea ukurasa wa Miradi au kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa taarifa kuhusu miradi yetu na huduma zinazohusiana na ardhi.

Ndiyo. Tunatoa huduma za upimaji wa ardhi na cadastral services kwa maeneo ya makazi, biashara na matumizi mchanganyiko kwa kushirikiana na washirika wenye leseni husika.

Ndiyo. Makazi Solutions hutoa huduma za upangaji miji, maandalizi ya master plans, structural plans na mipango ya uendelezaji wa maeneo.

Unahitaji Huduma ya Kitaalamu ya Ardhi?

Wasiliana na Makazi Solutions kwa taarifa zaidi kuhusu upangaji miji, upimaji ardhi, uendelezaji wa ardhi, huduma za mali na miradi yetu.