Pangani • Tanga • Tanzania

Miliki Kiwanja Chenye Hati Kando ya Bahari ya Pangani

Karibu Kipumbwi Satellite City, jiji jipya lenye viwanja 4,073 vilivyopangwa na kupimwa rasmi. Anza kumiliki kiwanja chako kuanzia Tsh 1,800,000 tu.

Mradi Mkuu

Kipumbwi Satellite City

Mradi wa viwanja 4,073 vilivyopangwa na kupimwa rasmi na Makazi Solutions katika Wilaya ya Pangani, Mkoa wa Tanga.

  • Viwanja 4,073
  • Makazi, Biashara na Mchanganyiko
  • Karibu na Bandari ya Kipumbwi
  • Imepangwa na Wataalamu Waliosajiliwa

0

Viwanja Kipumbwi

0+

Wateja

0+

Miaka ya Uzoefu

0+

Miradi Mikubwa

Ramani ya Master Plan ya Kipumbwi
Master Plan ya Kipumbwi
MASTER PLAN

Mji Uliopangwa kwa Maisha na Maendeleo Endelevu

Kipumbwi Satellite City imepangwa kama jiji kamili lenye maeneo ya makazi, biashara, huduma za jamii, viwanda vidogo, mashamba ya mjini na mtandao wa barabara za ndani.

Mtandao wa Barabara

Barabara za ndani zilizopangwa zinazounganisha maeneo ya mradi.

Maeneo ya Makazi

Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya nyumba za familia na makazi.

Huduma za Jamii

Maeneo yaliyotengwa kwa shule, hospitali na maeneo ya ibada.

Maeneo ya Biashara

Maeneo maalum kwa biashara na shughuli za kiuchumi.

KWANINI MAKAZI SOLUTIONS?

Kwa Nini Uchague Makazi Solutions?

Tunaunganisha utaalamu wa upangaji miji, upimaji ardhi, taratibu za kisheria na teknolojia za kisasa ili kutoa huduma bora na za kuaminika.

Usalama wa Kisheria

Tunazingatia taratibu rasmi za upangaji, upimaji, urasimishaji na umiliki wa ardhi.

Wataalamu Waliosajiliwa

Timu yetu inajumuisha Wapima Mipango Miji, Wapima Ardhi na wataalamu wenye uzoefu.

Uzoefu wa Miradi

Tumetekeleza miradi mbalimbali ya ardhi, mipango miji na uboreshaji wa makazi Tanzania.

Huduma za Urasimishaji

Tunasaidia katika urasimishaji wa ardhi, nyaraka za umiliki na taratibu zinazohitajika.

GIS na Teknolojia

Tunatumia GIS na teknolojia za kisasa katika ramani, uchambuzi na usimamizi wa ardhi.

Uaminifu na Huduma

Tumewahudumia zaidi ya wateja 15,000 ndani na nje ya Tanzania.

ENEO LA MRADI

Kipumbwi Satellite City

Eneo la kimkakati lenye fursa za makazi, biashara, utalii na uwekezaji katika ukanda wa pwani wa Tanga.

Pangani, Tanga

Kipumbwi ipo katika Wilaya ya Pangani, Mkoa wa Tanga, kando ya Bahari ya Hindi.

Bandari ya Kipumbwi

Bandari ipo takribani kilomita 1.5 kutoka kwenye mradi kwa fursa za usafiri, uvuvi na biashara.

Barabara ya Bagamoyo–Pangani

Barabara mpya ya kutoka Dar es Salaam kupitia Bagamoyo hadi Pangani inaendelea kujengwa.

Fursa za Utalii

Eneo lipo karibu na Hifadhi ya Taifa ya Saadani na Kisiwa cha Maziwe.

ANZA SAFARI YAKO YA UMILIKI

Chagua Kiwanja Chako Kipumbwi Leo

Wasiliana nasi kupata ramani, bei na viwanja vilivyopo. Timu yetu iko tayari kukusaidia kuanza safari yako ya kumiliki ardhi.